Search

1021 results for Daudi Elibahati :

  1. Kitasa kung'oka Azam FC

    Beki wa kati wa Azam FC, Malickou Ndoye ameonyesha nia ya kuondoka ndani ya timu hiyo baada ya msimu huu kumalizika kutokana na kutokuwa na uhakika wa kucheza kwenye kikosi cha kwanza.

  2. Azam FC, Namungo mechi ya kisasi

    MCHEZO mmoja wa kukamilisha hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) utapigwa leo kati ya wenyeji, Azam FC itakayoikaribisha Namungo kuanzia sasa 1:00 usiku, mechi...

  3. JIWE LA SIKU: Simba ya Mgunda anakufunga yeyote

    Simba imeanza maisha mapya baada ya kocha Abdelhak Benchikha kuondoka kwa ilichoelezwa kuwa ni matatizo ya kifamilia na timu kukabidhiwa kwa Juma Mgunda na Selemani Matola, uamuzi ambao kwa...

  4. Lusajo: Profesa shabiki wa Simba alinikazia nisijiunge Yanga

    Mshambuliaji Reliants Lusajo anajipambanua kuandaa maisha baada ya kustaafu soka, jambo linalomfanya aipe elimu kipaumbele ili kumwezesha kufanya shughuli nyingine kwa urahisi.

  5. Mghana aipeleka Coastal nusu fainali FA, yaisubiri Azam, Namungo FC

    COASTAL Union imetinga nusu fainali ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Geita Gold katika mchezo mkali uliopigwa leo kwenye Uwanja wa Mkwakwani mjini...

  6. Faini zatawala Ligi Kuu Bara

    KAMATI ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi ya Bodi ya Ligi Kuu Bara (TPLB) katika kikao cha Aprili 30, mwaka huu imepitia matukio yaliyojitokeza katika mechi za Ligi Kuu, Championship na First...

  7. Chama afungiwa michezo mitatu, Simba, Yanga zapigwa faini

    KIUNGO wa Simba, Clatous Chama amefungiwa michezo mitatu na kutozwa faini ya Sh1 milioni kwa kosa la kumkanyaga kwa makusudi beki wa Yanga, Nickson Kibabage katika mchezo wa Ligi Kuu Bara baina...

  8. Ihefu yatangulia mapema nusu fainali FA

    TIMU ya Ihefu imefuzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho (FA) baada ya kuifunga Mashujaa kwa mikwaju ya penalti 4-3, kufuatia miamba hiyo kutoka suluhu ndani ya dakika 90...

  9. Championship ilikuwa ni msimu wa jasho na damu

    MSIMU uliopita wa Ligi ya Championship ulifika tamati mwishoni mwa wiki iliyopita baada ya kivumbi, jasho na damu kuvuja kwa wachezaji wa timu 16 zilizokuwa zinapigania nafasi mbalimbali hususan...

  10. Simba ilistahili kubeba ndoo ya Muungano

    SIMBA ndio mabingwa wapya wa michuano ya Kombe la Muungano, iliyoshirikisha timu nne zikiwamo Azam, KMKM na KVZ. Michuano hiyo ilifikia tamati rasmi juzi visiwani Zanzibar, kwa Simba kuifunga...

Page 1 of 103

Next